Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
MKE BAADA YA KUSIKILIZA KESI YA TUNDU LISSU AMFANYIA CROSS EXAMINATION MUMEWE.
Mke: ikupendeze mume wangu naitwa Chausiku Omar mkeo wa ndoa
Mume: Nipo timamu mke wangu
Mke: Nitaanza kukuuliza kuhusu Khadja
Mume: Nakusikiliza
Mke: Sasa niambie Khadja ni Nani
Mume: Khadja yupi
Mke::aliyekupigia video call Jana usiku
Mume: Mfanyakazi mwenzangu
Mke: Kazini MPO wafanyakazi wangapi?
Mume: Tupo 11
Mke: Wakiume wangapi na wakike wangapi?
Mume: Wakiume 7 wakike 4
Mke: Sasa tuanze na hawa wanne
Mume: Sawa
Mke: Hawa wanawake wanne wote wameolewa?
Mume: Ndio
Mke: Wakiwa kazini wanapigiana simu na wame zao
Mume: Ndio
Mke: Wanapenda sana kuongea video call?
Mume: Hapana mara nyingi naona wameweka simu maskioni
(Mume ameshaingia kwenye mfumo😃😃)
Mke: Unanijibu VIZURI mume wangu nakupenda
Mume: Nakupenda pia
Mke: Sasa nambie kama wao WANAONGEA mchana kwa simu za kawaida na wamezao kwanini wewe Khadja akupigie video call usiku
Mume: Unasema
Mke: Umeanza kuwa kiziwi ee
Mume: Usinipande kichwani
Mke: Turudi kwenye HOJA ya msingi
Mume: Ipi
Mke: Video call za usiku na Khadja
Mume: Hayo ni masuala ya KAZI
Mke: KAZI ya kuonana Sura usiku na mchana
Mume: Kivipi
Mke: Mchana anakuona KAZINI usiku anakuona video call
Mume: Masuala ya KAZI NIMESEMA
Mke: Sasa tuende kwa Mwajuma
Mume: Kheee wee Mwanamke
Mke: Tutafika Tu Polepole
😃😃😃😃
Source: Twaha mwaipaja