Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kupanda bodaboda kwa staili ya mshikaki.
Hii nimeiona karibia kila mkoa; unakuta mwanaume kwa mwanaume, mwanamke kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanamke wamepanda bodaboda kwa staili ya mshikaki.
Swali la kujiuliza, hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?
Na kwanini nyakati hizi, hii staili ishike kasi?