Hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?

JF imefikia hapa
Ina maana bodaboda madereva unavyokaa kwa nyuma hawalindi mgongo?

Sijaelewa point yako nini

Ikitokea umepata ajali kubwa unashindwa kuoga, kuchamba na wa kukusaidia ni nurse wa kiume, au ndugu yako wa kiume utafanya nini?

USidhalilishe bodaboda wanaume Wanaendesha boda zao kutafuta maisha ukawausisha na mambo ya akili inavyokutuma..
Sio jambo zuri
Kupanda mishikaki ni nini? Inawezekana hujaelewa mada.
 
Umehusisha na kukaa mgongoni
Na kuwa wanao comment kibao kuhusu kulinda mgongo najaribu ku connet the dot

Wanajeshi, wacheza ndondi, wanaoemda kucheki bawasiri huwa wanatiwa vidole na daktari.....

Je hawa watu hawalindi migongo yao?
 
Hali ni mbaya
 
Ni kama wiki 3 hivi zimepita kuna madogo walikuwa wa 5 mshakaki huo wana jina lao ukaaji huo majira kama ya saa 1 kasoro asubuhi walivuka mataa wakakosa kugongana na bajaj kwenye kukwepa wakaenda nayo mtaroni moja kwa moja ilibaki simulizi tu.
 
Ni hatari, wanazidisha uzito kwenye chombo husika.
Chanzo cha kufanya hivyo ni nini?
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu kupanda bodaboda kwa staili ya mshikaki.

Hii nimeiona karibia kila mkoa; unakuta mwanaume kwa mwanaume, mwanamke kwa mwanamke au mwanaume kwa mwanamke wamepanda bodaboda kwa staili ya mshikaki.

Swali la kujiuliza, hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?

Na kwanini nyakati hizi, hii staili ishike kasi?​
Kwani huyo muendesha bodaboda mgongo wake anaulindaje?
 
Sababu ni Uchumi mdogo

Kama mtu anajiweza, anashindwa kupanda Uber/bolt kwa kulipa shilingi 8,500 hadi 12,500 kweli

Binafsi siwezi kupanda mshikaki, labda nikae na bibienu
 
Ni kama wiki 3 hivi zimepita kuna madogo walikuwa wa 5 mshakaki huo wana jina lao ukaaji huo majira kama ya saa 1 kasoro asubuhi walivuka mataa wakakosa kugongana na bajaj kwenye kukwepa wakaenda nayo mtaroni moja kwa moja ilibaki simulizi tu.
Si usela tu kuiga
 
Back
Top Bottom