Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni.
Nahitaji kujua je...
Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero.
Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia...
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .
Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi...
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie...
Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki).
Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka...
Najaribu kuwaza.
Kama marehemu Chivayo, angepewa u-rais kwenye nchi yake, kuna uwezekano mkubwa umasikini kwenye nchi yake ungeisha kabisa, na si ajabu kila raia angekuwa anamiliki gari ya maana...
Hadi natetemeka jamani niliyoyaona huko mjini, Tembo kajua kujidhalilisha na kumdhalilisha yule binti mmmmh!!!
Haya wadada wa kusoma inch mtuambie ni mtulinga au kibamia!???
NB: Sielewi kwanini...
https://www.facebook.com/share/r/19des4S3mc/
Wimbo "Mama, Don't Close Your Eyes" wa mradi wa "Bjorn Bonebreaker" uliotolewa Septemba 2026 ni wa kutengeneza na umetengenezwa kabisa kwa teknolojia...
Cycles zako JF ni zipi?
Kumbuka ukikaa karibu na uaridi(waridi) utanukia.. Lakini pia ndege wafananao huruka pamoja
Una team na nani?
JF Elites?
Wambea?
Wazee wa connection
Ma bazazi?😀
Wala bata...
Salaam wana JF
Wakati nikiwa mdogo nilipenda sana kucheza kombolela i.e Mchezo wa kujificha na kuanza kutafutana.
Nikiukumbuka huu mchezo natamani sana nirudi kuwa kama mtoto.
Je wewe utotoni...
Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu
Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii
Wale tunao...
Sisi watanzania wote ni watani tu ,kwa desturi zetu hatuna shida tukitaniana.
Hii bato ya wachaga na wasukuma naona kama imelazimishwa mno , hakuna bato hasa ya kiuchumi kati ya hayo makabila...
mungu Pombe
mungu Uke
mungu Nyama (BBQ).
Pascal Mayalla, MBITIYAZA, Nyani Ngabu,
walwa, nyoo Na nyama.
_____&&&_______________________________
1; mungu Pombe (walwa)
anatumika kwenye kutambika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.