Nikiwa sina hela kila kitu nakiona kero na nakuwa na hasira sana

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero.

Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu.

Kuna wakati hata kuosha vyo kwangu inaweza kuwa kazi ngumu mno ila nikiwa na hela usafi kila dakika nafanya, ila nikiwa sina naona kero hata kuoga.

Hii hali inasababishwa na nini? Ni kwangu tu au hata nyie wenzangu.
 
Tafuta bwana uolewe.

Pia jitahidi kushiriki mapenzi mara kwa mara kutakuondolea msongo wa mawazo.
 
Back
Top Bottom