Yupo wapi ShesRise_1 mwadada mwenye nyuzi fikirishi na amazing

Yupo wapi ShesRise_1 mwadada mwenye nyuzi fikirishi na amazing

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
Screenshot_20261002-205515_ChatGPT.jpg




Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu

Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii

Wale tunao fuatilia nyuzi zake hapana shaka yoyote huwa tunapata chemsha bongo,elimu na maarifa,kutokana na ukweli kwamba nyuzi zake zinawafanya members wakune bongo zao na kutema madini kupitia mjadala husika

Hope upo salama huko ulipo, we miss you ShesRise_1

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom