Imeisha hiyo kikubwa ni mzimayupo anakazi ya kunielekeza namna ya kulea☺️
Nipo kakaView attachment 3682676
Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu
Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii
Wale tunao fuatilia nyuzi zake hapana shaka yoyote huwa tunapata chemsha bongo,elimu na maarifa,kutokana na ukweli kwamba nyuzi zake zinawafanya members wakune bongo zao na kutema madini kupitia mjadala husika
Hope upo salama huko ulipo, we miss you ShesRise_1
Ni hayo tu!
Yes ni mdada kabisaShesRise_1
Ni mdada!?🤔
Jambo jema..Yes ni msada kabisa
Nimefurahi kukuona mdogo wangu,welcome backNipo kaka
View attachment 3682676
Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu
Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii
Wale tunao fuatilia nyuzi zake hapana shaka yoyote huwa tunapata chemsha bongo,elimu na maarifa,kutokana na ukweli kwamba nyuzi zake zinawafanya members wakune bongo zao na kutema madini kupitia mjadala husika
Hope upo salama huko ulipo, we miss you ShesRise_1
Ni hayo tu!
Niko hapa 😍Nimefurahi kukuona mdogo wangu,welcome back
Mbona umekua mkali hivi 😅😅UNAJIMISS MWENYEWE?. IDs nyingi zinawasaidia nini? Mtu umemwandika sisi wengine tupo miaka na miaka humu hata hatujawahi msikia. Unajimiss kwa ID moja kisha utakuja jijibu.
Ningekuwa mgeni jf hapo sawa,lkn tunajuana wenyewe humuWatakuja kukwambia kua ''Haiombwi hivyo''
Nimesema watakuja kukwambia.
Huyo mpuuzi achana naeMbona umekua mkali hivi 😅😅
Ila JF lol 😆
Mbona hata wewe sikujui mkuu😅😅🙌🏼
Nimeshangaa tu kujimiss. Kisha anakuja kujibu kwa ID hiiMbona umekua mkali hivi 😅😅
Ila JF lol 😆
Mbona hata wewe sikujui mkuu😅😅🙌🏼
😅😅🙌🏼Nimeshangaa tu kujimiss. Kisha anakuja kujibu kwa ID hii