Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Status
Not open for further replies.

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,921
Reaction score
19,772
Hadi natetemeka jamani niliyoyaona huko mjini, Tembo kajua kujidhalilisha na kumdhalilisha yule binti mmmmh!!!
Haya wadada wa kusoma inch mtuambie ni mtulinga au kibamia!???

NB: Sielewi kwanini display yangu hainiletei emojis nikiwa hapa Jamii Forum, wala siwezi kufanya reaction yoyote, sasa na mie nishazoea ma emoji emoji basi najionea tafrani kweli, shida nini wakulungwa?
 
Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji

Ngoja tuendelee kuchukua tafadhali, ni aibu ikija kuvuja connection ya Mzee wa umri wangu

Sijui tutaficha wapi sura zetu 🙌

Mabinti kuweni makini na mahusiano yenu ya sasa, Kuna Mwanaume atakurekodi ili kukuharibia kesho yako nzuri

Maana sio Wanaume wote tunafanana uwezo wa kutafakari na kuona mambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom