Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Status
Not open for further replies.
Hao mabinti unaowashauri ni bogus. Wakitaka wawe na kesho nzuri wanatakiwa wajitunze sio kutembeza uchi kisha kesho wategemee kupata mwanaume aliyetulia aweke ndani gari used. Unawapotosha.
Kuna haja kama Wazazi tuongeze jitihada katika malezi ya vijana wetu

Haya mambo yakiendelea hivi, tunakwenda kuwa na kizazi Cha ajabu kisicho na maadili kabisa
 
Ukiona mwenzako ananyolewa, zako tia maji

Ngoja tuendelee kuchukua tafadhali, ni aibu ikija kuvuja connection ya Mzee wa umri wangu

Sijui tutaficha wapi sura zetu 🙌

Mabinti kuweni makini na mahusiano yenu ya sasa, Kuna Mwanaume atakurekodi ili kukuharibia kesho yako nzuri

Maana sio Wanaume wote tunafanana uwezo wa kutafakari na kuona mambo
Amejiharibia sana yule mmakonde mshamba, nani atampa ubalozi jitu linarekodi wanawake na kuvujisha videos.... ila hawa mabinti umaarufu utawamaliza sana, anakubalije kurekodiwa hadi sura au walipanga wakiuze 'only fans' ???
 
Kuna watu hajui kuheshimu Faragha kabisa

Mmekutana hotel/Lodge kufanyana, kinachokufanya uanze kurekodi ni nini?

Siku nitakayojua binti ananirekodi nikiwa kifuani kwake, nitajua ameuchoka ugali wa nyumbani kwao

Siwezi kuvumilia mjinga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom