Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

Status
Not open for further replies.
Jamaa unaonekana una mambo mengi sana na unadai umeoa. Huu uzi wa pili wa aina hii naona unapata mtikisiko. Tulia na mkeo la sivyo litakukuta jambo tu siku moja.
Tunapoona vijana wanatenda mambo ya hovyo, kama Wazee lazima tutoke kukemea

Mimi na Wazee wenzangu humu, ndiyo kazi tunafanya

Hayo mengine huenda ni wasiwasi wako tu, nimetulia na bibienu tangu mwaka 47

Kama hautajali, naomba nikuagize uniletee kiko, babu yenu nina arosto ya kufa mtu hapa 🤗
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom