Usiangaike sana kusoma ili upate vyeti kama lengo lako kuu ni kujiajiri, cheti cha kuzaliwa kinakutosha

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kama hutegemei kuajiriwa, bali unataka ujiajiri uwe CEO wewe mwenyewe, cheti cha kuzaliwa kinakutosha.

Achana na mbwembwe za kutafuta mavyeti mengine, hizo mbwembwe waachie wanaotaka kuajiriwa (cheap labour), kwa sababu wao bila vyeti hawaajiriki.

Wewe cheti cha kuzaliwa kinakutosha tu, kitakusaidia kupata hati za kusafiria.

Piga kazi​
 
Type CV ya Wicknell
 
Umekombolewa mkuu!!
Nilipata hiyo degree!lakini bila kupata hii ajira isingenisaidia lolote!

Hela ya kuanzisha kampuni Hadi ikomae ililiwa kwenye kutafuta vyeti!

Umaskini ni hii elim
 
Back
Top Bottom