Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

Unajua nini pipy anatoa huduma inayohitajika na wanaume wengi sana "matamanio ya ngono"

Ameligundua soko na ameweza kulifanyia kazi vip kuhusu wewe unaweza kutatua tatizo kwa jamii na kutake risks
 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
Tap tap the screen.

Da Pipi nishushe.

Bongo ukijitoa ufahamu unatoboa.

Baba Chilaka soon na yeye atakuzidi MPUNGA.
 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
Ukiona unaanza kutamani maisha ya mtu mwingine jua unakaribia kupoteza mgongo wako.....YBWYB.....LINDA MGONGO WAKO .... HALI NI MBAYAAA
 
Back
Top Bottom