Wekeni vyi picha basi vya asset anazomiliki tuaminiUsimuone hivyo ..ana maisha mazuri ya kitajiri kushinda mwalimu wa nchi hii ya tanzania. Hivi unaelewa ?
Hauko timamu kichwani huwezi kumuwaza pipitidanatumia ngiba ..ni nzuri inafanya akili yangu KUWAZA fasta
Bilioni mbili na utu wako kipi muhimuBilioni 2 shekhe ....nakupa na mafuta kabisa au vipi...
Mkuu usijichoshe,huyo anaonekana wazi kabisa kua mgongo wake uko wazi kitambo tu.Bilioni mbili na utu wako kipi muhimu
Na nadhani hili linafanyika kwa makusudi, ni nani atakubali apatoze muda huko shuleni/vyuoni aje kuwa bodaboda?Critical thinker umenielewa mkuu
Ina mana Kuna mtu Kijana Kuna siku atakua kashikilia vyeti vyake na gpa yake ya 4+ , akafikiria sana na mwisho akatupa yale mavyeti...akaingia rasmi kwenye uchawa, usagaji, ufirwaji, ...MAJUZI hapa namuona baba levo sijui ni la Saba ama form 4 kalewa chakari na suti yake na ni mbunge, aliupataje . .uchawa...
Baada ya miaka 10 Hali itakua mbayaaaa
😂😂😂Unauliza jibu km wabisha nawe nitisha kalio uone!😂
Kwani Pippy ana nyumba? 😂😂😂Mbona umewadharau sana walimu? 😹😹
Em weka hiyo nyumba kwanza tuhakikishe..!!
😂😂😂Ndio Niko nafikiria. Haiwezekani mwalimu nchi hii analipwa hela MBUZI na maisha mabovu, ila you bera watch your back wanatembelea gari ya bilioni 2....
Sio chuchu tu...na matako kabisa kama Pipitida ...
Uongo, pippy ana maisha gani mazuri? Acha kudanganya hapa.Usimuone hivyo ..ana maisha mazuri ya kitajiri kushinda mwalimu wa nchi hii ya tanzania. Hivi unaelewa ?
BICHWA KOMWE -ommy hajaulinda ila anatembelea gari la bilioni 2....
kwahiyo unatakankuunga juhudi za akina cocastik na bichwa komwe, aiseh YBWYBSikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....
SIKUBALI....
Wanasema ivyo sababu pipy alisema Kuna nyumba amejenga, au labda pippy alitupanga cocasticUongo, pippy ana maisha gani mazuri? Acha kudanganya hapa.
Simjui ila nimemsikia TOXIC FUVU katoa ngoma inaitwa MIMI LINI aisee jamaa kasema mengi mno kuhusu haya maishaSikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....
SIKUBALI....
Sina, ila nasema ukweli.Una wivu ??
Watch ur back kijanaSikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....
SIKUBALI....