Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
You better watch your back
 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
Ila huu mfumo unaojengeka sio mzuri...

Thamani ya Elimu inaondoka,...
machawa, mashoga na Wasagaji ndo wanakula maisha kitaa.....
 
YBWYB
1790670054958.png

No menenti mente!,' I mean' hakuna njia mbadala!
 
Ukiona unaanza kutamani maisha ya mtu mwingine jua unakaribia kupoteza mgongo wako.....YBWYB.....LINDA MGONGO WAKO .... HALI NI MBAYAAA
Ni kweli nimeyatamani sana maisha ya Pipitida..ila hayo maskio yapunguze basi
 
Ila huu mfumo unaojengeka sio mzuri...

Thamani ya Elimu inaondoka,...
machawa, mashoga na Wasagaji ndo wanakula maisha kitaa.....
Critical thinker umenielewa mkuu
Ina mana Kuna mtu Kijana Kuna siku atakua kashikilia vyeti vyake na gpa yake ya 4+ , akafikiria sana na mwisho akatupa yale mavyeti...akaingia rasmi kwenye uchawa, usagaji, ufirwaji, ...MAJUZI hapa namuona baba levo sijui ni la Saba ama form 4 kalewa chakari na suti yake na ni mbunge, aliupataje . .uchawa...
Baada ya miaka 10 Hali itakua mbayaaaa
 
Na ww tikisa izo chuchu basi. Upate pesa.
Kazi ni kipimo cha utu
Ndio Niko nafikiria. Haiwezekani mwalimu nchi hii analipwa hela MBUZI na maisha mabovu, ila you bera watch your back wanatembelea gari ya bilioni 2....
Sio chuchu tu...na matako kabisa kama Pipitida ...
 
Life is not a race,Life is a personal journey to be experienced and savored at your own pace rather than a competition against others.
 
Hako katoto Baada ya kuweka video ndio nimekamanya

Wakati kanaanza kalikiwa kanatikisa kalio kinjaanjaa

Eti unatikisa kalio kwa beat ya singeli definitely ni njaa.!

Sema vitu vyeusi ni ugonjwa wangu katika hali yoyote ila kapunguze filter
 
Usimuone hivyo ..ana maisha mazuri ya kitajiri kushinda mwalimu wa nchi hii ya tanzania. Hivi unaelewa ?
 
Back
Top Bottom