Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Leta maoni yenu
Mapori yapo mengi kila konaSafi. Hapo ndio kijijini kwenu mkuu?
Unayajua magame mkuu?Mapori yapo mengi kila kona
Sawa
Ila Huu Mdororo Wa Cash Sioni Jipya Zaidi Kuosha Macho Kwa Picture
Ndio vitu gani hivyo?Unayajua magame mkuu?
Nchi Hii Watu Wameanza Kununua Viti Bar Asikalie Mtu Week Nzima NalipaMkuu, huko bar/club watu wanapanga vinywaji mpaka unajiuliza hela wanapata wapi?
wale majaa wanaolinda wanyama poriNdio vitu gani hivyo?
Watakuwa wanatoa wapi salio?Nchi Hii Watu Wameanza Kununua Viti Bar Asikalie Mtu Week Nzima Nalipa
Huendi mbuganiwale majaa wanaolinda wanyama pori
Tutapigia video callhamna hata majirani wa kwenda kupiga nao umbea, nikikaa huk nitaumwa
video call hainogi umbea unanoga uushuhudie live bila chengaTutapigia video call
Sawa tutahamia Tandale au Buza Kwa mama kibongevideo call hainogi umbea unanoga uushuhudie live bila chenga