Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
😹😹😹😹 ya Rombo mojaUmekunywa mbege ya wapi?
😹😹😹😹 ya Rombo mojaUmekunywa mbege ya wapi?
xmass hiyooo, itabidi twende😹😹😹😹 ya Rombo moja
Ayaaa.nipitiexmass hiyooo, itabidi twende
Kabisa.na huwa hatari ukivamiwa na majambazi au vibaka inakuwa ni vigumu watu wengine kuona ili uokoleweHizo senyenge upate razor kama hizi wanazotumia kwenye SGR!
Haya maukuta ya kozi 9 au 12 tunayojizungushia hewa inakuwa nzito ndani.
Kako poa sana. Ila kwa vipato vya chini.Leta maoni yenu
View attachment 3688645
Majirani wapo mkuuhamna hata majirani wa kwenda kupiga nao umbea, nikikaa huk nitaumwa
Ekari moja inauzwa bei gani?Plan yangu niende bagamoyo nikatulie kama hivyo Very soon
Kuna baadhi ya mikoa mashamba ni bei nafuu, changamoto inakuja ni mkoa upi unahitaji kufanya jambo la namna hii.Kako poa sana. Ila kwa vipato vya chini.
Kwa wenye vipato vikubwa Bado wanatakiwa wazungukwe na watu wengi huku wakisaidiana.
Maeneo mengi ni chini ya 2MEkari moja inauzwa bei gani?
Na kule mlandizi inaweza kuwa hivyo hivyo?Maeneo mengi ni chini ya 2M
Inategemea mambo kadhaa ila kwa research yangu ndogo 2M mpaKa 10M maximum unapataNa kule mlandizi inaweza kuwa hivyo hivyo?