Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani Mke atamuacha nani kati ya hawa?

Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani Mke atamuacha nani kati ya hawa?

Nani ataachwa aende zake?

  • A. Mume

    Votes: 8 88.9%
  • B. Mtoto

    Votes: 1 11.1%
  • C. Baba

    Votes: 0 0.0%
  • D. Mke ataona wote waende?

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    9

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Wawili tu wanatakiwa kuokolewa. Unadhani hapa Mke atamuacha nani kati hawa?

MTIHANI JF.jpg
 
Kwa kile mwanamke mwenzao alichofanyiwa na Bwana Kweka juzi, sioni Wanaume tukiokolewa hata kama kutakuwa na nafasi 4

Saivi wanaweza wakachukua kisu na kukata kabisa hata hiyo kamba iliyomshikilia mume ili afe kabisa🤪
 
Duh..... Hapo nikuomba kwa jina la Yesu mnaokoka wooote!
 
Back
Top Bottom