Kiukweli mke unamuachia aporomoke tuHiyo scenario laiti ingekuwa kinyume chake, kwamba mume anatakiwa aokoe wawili kati ya mama yake, mke wake na mtoto basi sidhani kama kuna mwanaume angechagua mke juu ya mama
Mimi binafsi mama yangu na baba yangu ndio nawapenda sana kuliko watoto wanguHiyo scenario laiti ingekuwa kinyume chake, kwamba mume anatakiwa aokoe wawili kati ya mama yake, mke wake na mtoto basi sidhani kama kuna mwanaume angechagua mke juu ya mama
Halafu baadaye watoto wakikuwa wakawapenda zaidi mama zao mnalaumuMimi binafsi mama yangu na baba yangu ndio nawapenda sana kuliko watoto wangu
Mimi🔥Hiyo scenario laiti ingekuwa kinyume chake, kwamba mume anatakiwa aokoe wawili kati ya mama yake, mke wake na mtoto basi sidhani kama kuna mwanaume angechagua mke juu ya mama
Mimi siwezi kampangia mtoto anipende mimi na hata siwaandai ili wanisaidie ninachokipambania kwasasa ni kujiwekea mifumo ambayo itakuwa msaada siku zijazoHalafu baadaye watoto wakikuwa wakawapenda zaidi mama zao mnalaumu