Kazii kwakoo......Huu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?View attachment 3690208
Hapa sio pa kulala...
Huu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?View attachment 3690208
Hapa sio pa kulala...
Sasa Bia inahusiana nini na matraco? Mbona ladha yake iko ndani ya chupa, na sio unachosema wewe?Wewe si Bora nikanunue bia supermarket takeaway... bia bila mattrako hainogi
Sasa mkuu, mkoa wenye high number za Malaya ulinganishe na jombe, dar imejaza Malaya kutoka mikoani wa kutosha hata chocho wanakufaatahuko mikoani kuna vituko mkuu, kitu kinapewa sifa kama zote ila ukifika unajisemea moyoni "qmmk wallah"
tatizo kwann wapasifie sana wkt hamna kitu au exposure ndo tatizo. mimi sikuiz nikienda mkoa wowote nakua sina expectation yoyote maana nshachoka kuwa disappointed. unakutana na mwenyeji anasema ngoja nkutembeze unasema yes leo leo kazi ukifika unakuta ushubwada mtupu.Sasa mkuu, mkoa wenye high number za Malaya ulinganishe na jombe, dar imejaza Malaya kutoka mikoani wa kutosha hata chocho wanakufaata
Ww huo mji hatari, hujajua codes zake tu. Tafuta madreva lori wakuelekeze. Kuna watoto huko wanajua matusi kama wamezaliwa sodomaHuu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?View attachment 3690208
Hapa sio pa kulala...