Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Huo Mkoa una laana,hausongi mbele miaka na miaka ushapitwa hata na Katavi mkoa wa juzi tuu. Sasa hapo Oxygen ni kama vile palivyokuwa kwa Raju pale Mpanda mwaka 2015.
Hakuna loloteWw huo mji hatari, hujajua codes zake tu. Tafuta madreva lori wakuelekeze. Kuna watoto huko wanajua matusi kama wamezaliwa sodoma
Ebu Toka hapa... YaaniSasa Bia inahusiana nini na matraco? Mbona ladha yake iko ndani ya chupa, na sio unachosema wewe?
Wewe useme ulienda hapo kufuata matraco na sio bia, km ulifuata bia na zipo si ununue unywe na utosheke then uondoke. Shida iko wapi?
Kwahio mkuu ulitegemea vibe la kitambaa cheupe Tabora?! 😀😀😀 hebu nenda kupumzike.Huu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...
Ukanikimbia kule, umenichomesha mahindiKwani wee unaenda kufanya mambo yako yanayo kupeleka hapo au vibes na mengineyo??
Hahahah kaingizwa chaka na guide wake oxgen ni chimbo la wawindaji haramu kama lambo hotelSio kweli.kiwanja kikali ni terrace kama unaenda uhazili,kuna Serengeti kuna kiota na viwanja vingine vya maana
Sasa nini? Usiambiwe ukweli au?Ebu Toka hapa... Yaani
Uduguu leoo, ni kwa ajiri yakoUkanikimbia kule, umenichomesha mahindi
Wewe siku unafanya kazi kukimbizana na mwajiri wako kuna watu wapo wanakula bata wanatumiwa miamala na waajiriwa waoSiku ya kazi unaenda kufanya nini bar
Siku hizi vikuku vyenu kama njiwa pori au ni mwewe wale?Oxygen 😂 Niliwahi kukesha na team hapo.
Tabora afadhali, pita kwetu singida ulie 🤣
Nenda NzegaHuu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...