Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

huko mikoani kuna vituko mkuu, kitu kinapewa sifa kama zote ila ukifika unajisemea moyoni "qmmk wallah"
Siyo mikoani tu hata Dar kipindi hicho Magomeni kwa Macheni nimekwenda na washkaji kufika hata pa kukaa hamna watu nyomi nikiangalia hata Pub yenyewe siioni ushuzi mtupu, tangu siku hiyo sikukanyaga tena, bora delux nilipaelewa kwa ajili ya mishikaki kwamba mkienda Delux mnakula mishikaki mnashushia na moja mnasepa zenu sehemu za maana.
 
Wewe siku unafanya kazi kukimbizana na mwajiri wako kuna watu wapo wanakula bata wanatumiwa miamala na waajiriwa wao

Wewe hujafika Shirati, ni shangwe jumatatu hadi jumapili 7/24.
Nilijisahau kumbe niko shithoo kantre
Wakati nasoma ulaya siku moja nikajipeleka club siku ya jumanne nikakuta pamefungwa tena ni ya wajamaica halafu kwa ushamba wangu nikauliza wanafungua saa ngapi huku jamaa ananiangalia kwa mshangao
He was like “it’s Tuesday blood”
 
Back
Top Bottom