Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

Nakukumbusha tu , Tanzania ni ya kwanza kwa maambukizi ya ukimwi kwa Africa Mashariki na ya tano kwa Afrika nzima nzina. Zingatia hilo.
 
Nipo

Hivi unajua Radha ya bia inapatikana kwenye ma wowowo??

Yaan bia ya kunywea nyumbani hapana haiana taste kabisaaa
Uzinzi huo sasa S, na mkeo aseme aende Bar akanywe ili aone six packs, utafurahi??
 
It's not about competitions, yeye six pack anaziangalia za nini?

Aridhike na kitambi changu.

Hv kuna mwanamke wa kwenda sehem kutafuta mwenye six pack?
 
Mbona wewe unaangalia matracoo ya wengine? Hujaridhika na yake? Na yeye haridhiki na ndambi lako, anataka pacs za wengine.

Wapo sana wanaotafuta, usijifanye hujui.
 
Mimi sifaham kabisaaa. Ila najua wanawake wantaka pesa tuu ndio maana tunazitafuta Kwa jasho.

Sisi si mnatujua tunapenda ma wowowo ya aina tofauti tofauti yaan just kuyaangalia huku castle light inashuka taratibu
 
Wachaa wee! Mbona hata wanawake wapp wanaotafuta pesa na wanaotafuta vijana wa kutumia nao?

Pesa yako binafsi ni tamu na ina uhuru wake.
Aloooooh
 
Ni kweli kabisaa. Naturally wanaume ndio wanapaswa kuwatafutia pesa wanawake.

Hahaha huoni matatizo ya mwanaume kupewa pesa na mwanamke??

Mnataka Uhuru upi? Unaoletwa na pesa?
 
Pesa yako binafsi ni tamu na ina uhuru.

Usijifanye hujui S, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom