McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu.
Nikiwa mtoto tuliaminishwa na wazazi wetu kuwa ukila tunda alafu ukameza mbegu basi ile mbegu itaota na kuwa mti tumboni.
Nakumbuka kuna siku niko la 2 wakati natoka shule nikanunua chungwa alafu nikameza mbegu ya chungwa kwa bahati mbaya, nililia siku nzima nikijua mti utaota tumboni mwangu na nitaanza kuzaa matunda!
Karibuni