Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Wakuu...
Jana nimeingia kihotel pale
Singida... Nikakuta wameandaa wali mweupe, wali pilau, nyama, maharage na chinese...
Total mixer cost 5,000/=
Mie vegeterean nikachukua wali mweupe tu maharage na chinese halafu wananambia ni pay 5k hivi ina make sense...?