Vyote ninavyokumbuka naweka hapa kumbukumbu zote

Vyote ninavyokumbuka naweka hapa kumbukumbu zote

Kumbukumbu zinaanza mwaka 2017 Nilimtembelea anko chid sasa wakati nakaribishwa na watoto wake nilikua ugomvi mkubwa sana kati ya mke mdogo wa mjomba na mke mkubwa! sasa Nikawa nataka nilete heshma ya kuwasalimia japo wanapigana mjomba aknishika mkono akanambia kwamba twende huku akanipeleka kwenye kibanda kidogo hv akanambia hapa ndo utalala na dada ako fatuma ngoja nikuitie mfahamiane mapema we fatuma abee njoo huku fetty akaja huyu ni kaka ako mtoto wa shangaz ako utalala atakua mgeni wa utashukuru mana una woga fetty sawa baba shkamoo kaka @mm malahabaaa hujmbo sijambo! karibu ahsante

SIMU INAZMA WAKUU PIA NITAKUA NAANDIKA KIDOGO MANA NATUMIA BATANI samahanini wakuu nakuja jioni
 
Nakumbuka mwaka 2026 niliangushwa kiuchumi mpaka nikaanza from the scruch kisa mapenzi ya mtu ambaye kmanina zake ana mambo ya kingese sna yule mtu.

Anategemea mimi nitamuoa sasa atajua hajui shenzi kabisa..

Mpaka nikaingia kwenye uuzaji wa tomato l
 
Back
Top Bottom