Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
- Thread starter
- #21
Naendelea
fetty shkamoo kaka?
ME:marahabaa hujambo?
FETTY:sijambo karibu kaka
ME:ahsante dada
FETTY:tutalala wote kwenye hiki kibanda mana muda mrefu nalala peke angu
ME:eeh
FETTY:nimesema tutala wote au unaniogopa?
ME:hapana sikuogopi
FETTY:mbona unaguna?
ME:Kawaida tu
MAMA FETTY: we fatuma mbona unampelekesha kaka ako na maswali?
FETTY;kawaida mama mama fetty:»karibu mwanagu dada ako huyo ndo alivyo! itabid umzoee sawa baba?
ME:sawa!"ukafika muda wa chakula tukala muda wa kula sasa ukafika
ILA MUDA WOTE NILIKUA NIKIJIULIZA KWA NINI MJOMBA NA MKEWE WARUHUSU JINSIA MBILI TOFAUTI TULALE PAMOJA NAHO HAKINA UNDUGU WA KARIBU?
usiku mwema mjomba na wewe pia anko
MAMA FETTY:mlale salama wanangu?
ME:sawa mama na nyie pia-!""
fetty akatangulia kaka ngoja nikakojoe kwanza
ME;sa sa sawa
NIKAMSUBILI
akarud
FETTY:tangulia sawa ndani kaka?
ME: sawa dada bas bwana nikatangulia ndani nakuta kuna?
USHAURI WENU WAKUU KUHUSU MAKOSA MNAYOYAONA KWENYE UANDISH?