Vyote ninavyokumbuka naweka hapa kumbukumbu zote

Vyote ninavyokumbuka naweka hapa kumbukumbu zote

Mme wangu nimekupelekea maji ya kuoga uani ukaoge nimeshayapeleka sawa?
me:sawa"" basi bwana nikaenda kuoga saafi kabisa maji ya uvugu vugu nikamaliza kuoga uani kulikua na jiwe ilo jiwe hata uwe na miguu migumu vp razima utakate basi nikasugua miguu saaf kabisa nikatoka zangu uani kipind nikitoka uani tayari giza limeingia unaweza kugongana na yani mpaka toch ndo unaona nikaoteaotea mpaka kwenye kibanda cha fatuma nikaingia mpaka ndani namkuta fetty kavaa mafuani halafu khanga fupi mapaja yanaonekana
fetty:mme wangu unabadilisha au unaanza na mm?
me:unasema?
fetty:unabadilisha au unaanza na mimi mana nime ku miss tangu jana?
me:mke usijali ngoja baada si tutalala wote! sasa ngoja nibadilishe kwanza kisha nikamsalimie mjomba kama kalud?
fetty:sawa basi


nikabadilisha zangu nguo zangu
me:fetty twende sasa kwa anko ila ukanitetee kuhusu ndizi kuibiwa?

fetty: sawa
usijali nitaongea na baba hatokufanya chochote! sawa usjal mume wangu
me😛oa

basi tukatoka ndani tukaenda kumsalimia anko tukakuta
 
Tukakuta anko bado hajarud ila wake zake wameshaalud nikawasalimia safali hii wameitikia wote fatuma leo jioni sio zamu yake ya kupika so yupo free nikalud zangu gheto wakati huo wakuu sina hata sm nikaenda ndani kwenye kile kibanda nikalala mana nimechokaa

fetty akaja ndani akanikuta nimelala akavua nguo akabaki na chupi! lol KUMBE HATA MAKAL#IO YANA MA DIMPLES?
 
Thread niendeleze mana wadau naona wamekula buyu...?
 
Thread niendeleze mana wadau naona wamekula buyu...?
Haivutii,inaonekana visa vizuri lkn kiswaswadu kinakuangusha, mwandiko na mpangilio wa sarufi ni mbaya hakuna mfano..Nunua simu kwanza ndio uje uendelee
 
Back
Top Bottom