Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Mwanamitindo wa Marekani, Kysre Gondrezick, anasema alipata ujauzito wa Achraf Hakimi wakati wa Kombe la Dunia wakati Morocco ilipokuja kucheza Houston.
Alifichua kuwa alimwambia Hakimi na yeye (Hakimi) akasema; "Mbinu yake ya kujitoa kabla ya kumaliza ilikuwa nzuri sana hivi kwamba alilinda lango lake bila kufungwa goli (Cleansheet)" Hivyo hakuna uwezekano kabisa kwamba anaweza kuwa na mimba yake.
Inasemekana Hakimi alimwambia kwamba kama anaamini mtoto huyo ni wake, atafute pesa kisha yeye atafanya kipimo cha DNA kwa sababu kwa sasa hana pesa na mama yake hatampa pesa yoyote tena mpaka mwaka ujao, 2027.
Kysre Gondrezick anasema alidhani Hakimi alikuwa tajiri sana lakini sasa anajihisi "Ametumiwa na Kutupwa."
Hakimi anastahili kufanyiwa utafiti!
