Sasa unajifunzaje kwenye taarifa za uongo?Sisi hatujui kuhusu fact checiking tu naangalia fundisho hasa hasa.
Mwanamke ajae kwako kwa ajili ya pesa ni sawa na kunguni asubiriaye ulale aanze kukunyonya damu
HahahahaSasa unajifunzaje kwenye taarifa za uongo?
View attachment 3694684
Ndiyo maana mkienda mahakamani mnakuta mambo tofauti mnakuja kujiliza humu.
Safi sana nikupige na kupita,kama haeleweki.Ah demu mwnyw mambo mengi afu ndo umpe mimba, hapana aisee watoto wangu hawawezi kuwa na mama fala
YAH mzee, tena napiga siku nikiwa nimekosa option nyngn 😂Hapo
Safi sana nikupige na kupita,kama haeleweki.
Hahahaha
Ewe mwanike nakuomba katika pm yangu tafadhali
Mwanike nzogo mu pm yane
Goli nikatupia pale kwenye milima miili chini ya shingo 😎Kwahiyo ulitoa Cleansheet safi kabisa ?
Tulia, mambo ya vayolensi tuachie sisiAu basi nitatukanwa nikiendea ku-comment hapa
Shenzzz😂Ah demu mwnyw mambo mengi afu ndo umpe mimba, hapana aisee watoto wangu hawawezi kuwa na mama fala
Sasa kama mtu anafanya kazi kisha mshahara anamgawia bure mama yake atazuiliwa ? Hizo sheria za kipuuzi zije tu, plan b zitapatikanaJambo hilo liigwa na wengi sheria itabadilika, huwezi fanya janjajanja ya kusema mali zinamilikiwa na Mama milele wakati unayefanya kazi ni wewe na sehwmu ya kazi inaonekana na mshahara unafahamika
Niamini mm mkuu, mama watoto lazima awe mtu fulan hv wa kujitambua, hawa vichwa maji ni hit and runShenzzz😂
Kwahiyo utamtambuaje kama sio kichwa maji?Niamini mm mkuu, mama watoto lazima awe mtu fulan hv wa kujitambua, hawa vichwa maji ni hit and run
Ht kama n uongo ila n jambo zuri la kujifunzaMnaokoteza habari na tred za tiktok tu, hakuna chanzo kamili cha taarifa hizi.