Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

Mtoa mada atakuwa ni mgeni na Sinza! Usishangae. 😊

Marehemu Banza Stone, alipaita Sinza kwa wajanja. Hakuna starehe (Haramu au halali) utaikosa Sinza, ni wewe na hela yako.

Ushauri; Kama ni mgeni (Wa kuja), Sinza fuata kilichokuleta. Kama ni mtu wa starehe, fanya starehe unayoijua/imudu toka huko ulikotoka. Usiige starehe za watu Sinza. 😊
Enzi za Silent inn, alfajiri ukiwahi kupita mitaa ile, utakuta bado walevi wanapigana "mambo" pembezoni, malaya wamezagaa, watu wanapimana "oil" alfajiri kweupe, mateja wamezima na sindano zao mikononi, walevi wapo kwenye mitaro wameibiwa kila kitu na kuvunjiwa mayai. 😊

Ni vile tuu smartphones hazikuwepo zama hizo! 😊
 
Back
Top Bottom