Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

Sasa hivi ukigundulika una Ngoma teeth hawakuachi wanakumaliza kimya kimya...wadada wauza uchi walioathirika mwarobaini wao ni TEETH tu.

Hata huyo Dotto Tanesco, kama ishu yake Ina ukweli, tumpe miaka 2 tu baada ya hapo lazima watamfukia.

Hii ujumbe save kabisa leo tarehe 03 Agosti 2026 tukutane tarehe 03 Agosti 2028. Kama tukijaliwa uzima wa uhai na Afya, kama Dotto Tanesco atakuwa bado anapumua basi Ile ishu ilikuwa ya uongo au anao lakini hausambazi makusudi
theeeth wapia hao na story gani inawezekana huijui tz.

ingekuwa kwa unavyowasifia swala la upinde lingekuwa limeisha kitambo na lisingeletwa kwa fujo na kina mch....
 
Back
Top Bottom