Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
pIcha club ? Kwenye starehe za watu ? Sina utaratibu huoTupe picha
pIcha club ? Kwenye starehe za watu ? Sina utaratibu huoTupe picha
vipi naona huyo choxo anacheka kama zile id za mapunga, hivi ms3ng3 ana id ngapi humu za kuuza kishundu, xubabaake
Njoo Leo Tena ParkYaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁
Ngoja niwahi nyumbani aissee
How do you want it.Tulichelewa sana kuyaona haya maana huko duniani yapo toka enzi ya marehemu 2pac
Hahaha hatari sana mkuu.....wengi waliokuwa madada wauza Pottassium na wahudumu enzi hizo "GRIDI" imewaondoa.Mtoa mada atakuwa ni mgeni na Sinza! Usishangae. 😊
Marehemu Banza Stone, alipaita Sinza kwa wajanja. Hakuna starehe (Haramu au halali) utaikosa Sinza, ni wewe na hela yako.
Ushauri; Kama ni mgeni (Wa kuja), Sinza fuata kilichokuleta. Kama ni mtu wa starehe, fanya starehe unayoijua/imudu toka huko ulikotoka. Usiige starehe za watu Sinza. 😊
Enzi za Silent inn, alfajiri ukiwahi kupita mitaa ile, utakuta bado walevi wanapigana "mambo" pembezoni, malaya wamezagaa, watu wanapimana "oil" alfajiri kweupe, mateja wamezima na sindano zao mikononi, walevi wapo kwenye mitaro wameibiwa kila kitu na kuvunjiwa mayai. 😊
Ni vile tuu smartphones hazikuwepo zama hizo! 😊
Na kipindi kile gridi ikikukamata unabaki mifupa in weeks😁Hahaha hatari sana mkuu.....wengi waliokuwa madada wauza Pottassium na wahudumu enzi hizo "GRIDI" imewaondoa.
Bonge la Dada alikuwepo???Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁
Ngoja niwahi nyumbani aissee
Kwani Dotto Tanesco anasemaje?Hahaha hatari sana mkuu.....wengi waliokuwa madada wauza Pottassium na wahudumu enzi hizo "GRIDI" imewaondoa.
Na kipindi kile gridi ikikukamata unabaki mifupa in weeks😁
Aisee gridi ni hatari
Hahaha hatari sana mkuu.....wengi waliokuwa madada wauza Pottassium na wahudumu enzi hizo "GRIDI" imewaondoa.
Weeeee kumbe!!!!!