tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Wakuu,
Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto
Nyie mtaenda na nini?
Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto
Nyie mtaenda na nini?
wali maharage!
Mkuu wacha tu, ni mtamu mno.Kheee Makubwa!
Mkuu inaonekana ubweche umekukolea sanawali maharage!
Mbona umebeba viwili sasa?Wakuu,
Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto
Nyie mtaenda na nini?
Hatareee hapa nasubiri mida ya mchana hivi nikaushuhurikie tena.Mkuu inaonekana ubweche umekukolea sana
Uchuro!mzimu kazini!Kiri Kwa maandishi usepeshwe!!
😀😀😀 We jamaa mchongo wako tumeuelewa.
Chaja tu niwahi zangu ukutani
Sasa mbona umetaja viwili wakati umesema tutaje kimoja.Wakuu,
Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto
Nyie mtaenda na nini?
Tukiwachekea wataiharibu JF hawa😎Utoto ni raha sana
Chupa ya seringeti!Wakuu,
Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto
Nyie mtaenda na nini?