JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapo ulipo hakuna hata anesema wewe ni mzuri ila iba uone Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini anaiba" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
6 Reactions
4 Replies
1K Views
#Ujinga ni bae kuishi ghetto unatoka kwake asubuhi unaskia wamama wa plot wakisema afadhali huyu hakumpigisha kelele kama hao wengine #Ujinga ni pale Mpenzi wako anapo-Post kuwa REAL MEN are...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Ebu chekini picha za mtoto alivyo mkali kinoma!!! Sijui nimtume naaani????
2 Reactions
59 Replies
10K Views
Hey
Habari zenu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimepitia njia ya police station,, nikaona gari yao imeandikwa 4WD×4WD sasa mimi nikachukua ink pen nikajaza 16W²D² ,, sahiii niko kwa Landrover yao nadhani wananipeleka university of Dar es...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
tanzania ya viwanda
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nikisikia MTU anaitwa DAUD jina lake linalofuata huwa tu linakuja automatic Hasa sijui naumwa ugonjwa gani Au ndio u genius UNAVYOANZAGA ?
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Je ni vitu gani ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja Mimi binafsi siwezi kula huku nachat, kusoma wakat na angalia tv je wewe ni vipi ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja twende sawa......
2 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu: 1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Toa Nguo nikukule... Vilaza tutawajua leo
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Huwa ananifurahisha sana huyu jamaa.baadhi ya vimisemo ni .kunguru ni ndege lakini habebi abiria. .victoria ni ziwa lakini mtoto hanyonyi...
7 Reactions
259 Replies
120K Views
*Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi* *Babu:*Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa. *Wajukuu:*Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani? *Babu:*...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale mabingwa wa kutoa malaani nadhani wanafurahi baada ya kuona fursa hii kwani itawakumbusha mbali sana.kwa sisi tuliosoma shule za uswahilini lazima tulipitia michezo hii. Weka malaani yako...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu Naomba niwatetee kampuni ya tiGO. Leo hii Watanzania wanapiga kelele kuhusu "Jaza ujazwe". Lakini Watanzania wamesahau kuwa uchokozi waliuanzisha wenyewe. Uchokozi huo waliuanzisha kwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Utakuta jitu zima limekazana Jomoniii Vepeee Hatareee Mnatuharibia lugha banaaa
3 Reactions
13 Replies
866 Views
.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Ujumbe wake huu hapa kwa siku hii maalum kwakempende jirani yako kama nafsi yako...ungana na Jr katika siku hii maalum kwake kuwasamehe wote waliokutendea vibaya na kukukwaza nawe utabarikiwa...
6 Reactions
84 Replies
8K Views
Habari zenu, Hivi humu jf kuna jinsi ya kufanya usizione threads wala comments za mtu fulani??? Yani kuna mtu humu nikiona comments zake tu au threads zake nakosa hamu ya kula wiki nzima kwa...
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…