JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mzee kanitumia sms "njoo upike ugali mboga tayari" kwa haraka haraka zangu nikajibu OWA badala ya POA saiz nipo nyumbani hapo naona mabegi yangu ya nguo yote yapo nje itakuwa mzee anafanya usafi...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Yule kilaza,mchafukoge,mkopiaji wa darasani kwenu anapokuwa bosi ofisini kwako,na wewe ndo ulikuwa kipanga hatari.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukiwa tajiri kuna raha yake bana, maana utapewa majina kede kede ya utani ku signify utajiri wako. . KIFARU . KIFAMBA . ZIMBA . FOGO . FAZA . BABA PAROKO Ila haya ni kwa upande wa huku...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
wanaume wote wa TZ tunaomba mitandao yote ya simu ifute huduma zao za kutuma pesa ila tuendelee kutuma vocha tu kama kawaida, kama pesa waje kuchukua getto hasa huyu kwangu ;);) #WapostPumba
2 Reactions
0 Replies
708 Views
ni dar es salaam pekee unaweza ukamsindikiza mtu mpaka airport huyo mtu akafika Dubai wewe bado hujafika nyumbani foleni za dar kiboko #WapostPumba
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu STUNTER habari yako! Mkuu unanipa wakati mgumu kukuelewa haswa pale napoona nyuzi zako. Asilimia 100 ya nyuzi zako zinahusu papuchi, migegedo, na mademu. Swali langu kwako mkuu, imekuaje...
1 Reactions
71 Replies
4K Views
*Faida za kudate na o-level students* 1:they are not time consuming 2:they are still young in everything 3:they can never fight against you 4:easy to control their maind 5:everytime they call yo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Oyaa kama mtasikia kuna mtu anauza gari Noah New model nzuri ina vibali vyote kwa bei kati ya milioni 8 mpaka milioni 12 rangi yoyote haina shida. we Mwache Tu auze mi sina hela,
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Nimesoma taarifa ya shedede na husna muba, pia nimesoma yule jamaa aliyekaa siti ya daladala na nyange wa jf na comment kadhaa. kumbe wenzangu mwakulana humu JF? mnatisha kabisaaaa na wala hamtoi...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu siku hizi kama mjuavyo yoyote anaeza kumtongoza mwenzake yani mwanamke anaweza pia kumtongoza mume. Sasa we tumetongozana huko, tumekubaliana vizuri tukapumzike mahala flani ( na pengine...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Matangazo ya kibongo shida tupu, inakuwaje mwanaume asifiwe kawa mtamu? Mtamu anajulikana ni mtu wa namna gani! Kwa kawaida chakula na wanawake ndio husifiwa kwa utamu, haya ni mazoea ya kiasili...
7 Reactions
76 Replies
16K Views
Kuna mashindano ya kula Ugali yalitokea na kuhusisha washindani watatu. 1.huyu mshiriki kwa mbwembwe zote alikula ugali na chumvi pakti ya kilo moja 2.huyu yeye alikula ugali na maji ya kunawa...
1 Reactions
0 Replies
737 Views
Habari wakuu Namtafuta mjasiriamali wa viungo vya chakula humu JF anaitwa Zanzibar Spices. Tafadhali wasiliane nami ili nimpe oda ya viungo. 0713-039875
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amna namna wakuu hali imebana sana Ninawajua wanakamati ninaoishi nao jirani, ofisini n.k wapo kama 50 hivi, ebu naombeni mbinu ya kuwaangukia
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tuhuma nzito dhidi yenu kuwa siku hizi hamtembei na khanga za akiba kwenye mikoba yenu. Wengi wanasema kuwa nyinyi wadada wa sasa huwa hamchukui tahadhari kabisa Yani mkishavaa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Salam kwenu. Naomba kufahamu kwanini jf inawatumiaji wengi ambao majina ya id zao niyautata? Nahawaweki picha zao. Maana ukienda Facebook au Instagram unakuta jina halisi lamtu napicha yake...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Kutoka Kibanda Cha TigoPesa: Jamaa Kafika Kuunganisha Kifurushi Cha Muda Wa Maongezi Wakala Akamkaribisha Baada Ya Kumuunganisha Akamwambia Nimeshakujaza Tayari Kwenye Tigo, Kilichofuatia Wakala...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume ni kama kamba za viatu,anatakiwa kupita matundu mengi kabla ya kufunga fundo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna uwezekano wa kupata internent bure kabisa bila kulipia katika mitandao ya voda na Tigo kwa maelezo zaidi fuata profile yangu ya Facebook:www.Facebook.com/Calvi.Nation.Tz Sent from my...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…