JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Deleted member 421398
Jamani mkiona tangazo la kutumbuliwa mtu kwa taarifa kutoka kurugenzi ya ikulu la bwana Gerson Msigwa tushtuane hata kama nikiwa nimelala tafadhali....[emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
790 Views
Hivi inakuwaje Masuper star na matajiri wengi wanazaaga Twins tu. Kwani watu wengine wa kawaida hawapatagi watoto Twins sana. Hawa ni mfano wa couples maarufu wenye twins. K-Lynn, Mengi Beyonce...
0 Reactions
110 Replies
6K Views
Wakuu poleni na mihangaiko yawiki nzima,na weekend bila bia naona mpo nyumbani na muda mwingi mashemegi wanawaoneni.Nimechunguza mwenyewe tu wakuu na nikafikia haya ninayoyaandika.Wanawake wenye...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Habar wanajamvi Natumai mkopoa sana kwa mimi ni buheli wa afya mungu anasaidia bado tunagangamala niende straight kwenye mada kuna baadhi ya wanawake wanakuwaga na nyota kwa waumezao tu chukulie...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni; 1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na...
6 Reactions
323 Replies
27K Views
Wadau kinachoendelea time hii
1 Reactions
36 Replies
3K Views
hello.guys naomben ushaur nna tatzo gan kwasabab idadi ya wanawake wanaontongoza ni kubwa kulko wanawake nliowatongoza mimi!!
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Kama hukuwahi kusomea shule zetu zileee basi kwa namna moja au nyingine utakuwa hufahamu mambo mengi sana maisha ya shule(msingi na upili) yalikuwa na changamoto nyingi sana ikiwemo kupewa...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
hivi huyu makonda-kita anaakili? umesaidiwa kufika hapo umeshindwa kuficha kitu kidogo hicho? ungetengeneza certificate ya kubadili jina basi yote haya yasingetokea, cheki sasa hulali usiku...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
wadada hawatoi papuchi hadi wahudumiwe/wahongwe/wapewe pesa.. na wakaka hawahudumii/hawahongi/hawatoi pesa hadi wapewe papuchi... so wanabaki kuviziana... nb; sio wote though...
1 Reactions
5 Replies
744 Views
Hajipodoi Hatumii pombe, Havuti sigara, Hapendi ugomvi, Hapendi uzinzi, Havai kata kei, ikionesha nguo ya ndani iliyo chafu harafu imetoboka. Hampigi mkewe, Hamkalipii mkewe bila sababu, Hashindi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kimsingi, ndo ivo.
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu. Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Nawaza yule Dada wa Kwenye Tangazo la Coca Cola ..angekua anafanya kazi Pharmacy... Unaenda unanunua Condom .. Anakwambia Hey Handsome its Happy hour.. *You won yourself a free condom* *_But you...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kadi ya clinic imeandikwa haiuzwi lakini unauziwa na kila anaeuza anauza kwa bei yako mwenyewe Tanzania pekee
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam Naombeni dua zenu nimepata mchumba bongo movie jina nalihifadhi mpaka muda utakapofika. Nitakieni ndoa njema maana wengi wameshindwa kuwaoa hawa vimwana. Asante
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…