JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke. Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa. Deogratius...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Na ili jua lilivyo kali, naagiza kuku mbuzi kiroho safi. Nikukuona mwenzangu na mie nakuagiza unga wa Azam kilo 5 mpaka kumi, au tembele original kabisa. Kama wewe kibopa nakuagiza ng'ombe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hapa nipo kuicheki
1 Reactions
2 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mkaka kanunua gari used ya kawaida tu lakini kabadilika jamani. Najiuliza angenunua yale magari mazuri haswa kama Range, BMW, sijui ingekuwaje nahisi angepaa. Zamani alisalimia kila kila...
2 Reactions
87 Replies
5K Views
jina lako halisi unaitwa nani
0 Reactions
1 Replies
507 Views
hapa mtaani kwetu kuna grocery wanapiga sana kelele wakisha lewa nimepita nikaita kwa sauti Makondaaaaaaaaaa.. yaani hapa sahiv wengine tayar ni vilema sipendagi ujinga wa kusikia matusi ya...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna tofauti kubwa saba ya maisha ya kijana anaejitegemea na yule anayejitegemea na kujitegemea kwa wakti moja, hapo hapo, Haya maisha ya kujitegemea na kutegemewa hapohapo muyasikiage tu maana...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Hongera clouds kwa kuendesha shughuli ya kumchangia gharama za matibabu ya Jetman....
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahani wapendwa mwenye namba za queen darline anisaidie.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfalme Solomon alikuwa na wanawake 700 bado aliwasaliti kwa kutembea na michepuko 300 We mumeo ana michepuko miwili tu unanuna hadi amani inatoweka nyumbani my dada jitahid kusoma Biblia...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mume na mke wameingia hotel ya kifahari mambo yalikuwa hivi: MUME:Wife unakula nn? MKE:Utakachokula na mie hichohicho. MUME:Mhudumu..!! MHUDUMU:Naam mkubwa nikusaidie nini tafadhali? MUME:Chips na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna dhana ya kusadikika kuwa watu wanao vuta sigara kuna uwezekano mkubwa wa kuvuta Bangi au Mirungi hii ikoje?
0 Reactions
0 Replies
720 Views
19/02/2017 12:09 *Very interesting & meaningful msg *If:* *A B C D E F G H I J K LM N O P Q R S T U V W X Y Z* *is equal to:* *1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25...
0 Reactions
4 Replies
672 Views
Nina Mashaka sana kama tuna Akina dada/wanawake humu ndani ya jamvi. Kuna watu wanajifanya wanawake, na kisha wanaishia kuwazingua akina Chrispin, Masanilo, Nguli, Fidel180, Geoff na Wakware...
1 Reactions
136 Replies
9K Views
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamu wakuu Nimekaa na kuifikiria sana hii siku yangu ya kuzaliwa naishia bila kupata majibu mujarabu! Kwa mwaka huu mwezi wa pili ni mfupi na unasiku 28 kawaida na miaka mingine ambapo huwa na...
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂ Unajikakamua usiku huo...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…