Mtanzania na Mkenya waliingia
supermarket moja jjni Dsm.
Walipotoka Mkenya akawa anajigamba
kwamba Wakenya ni wajanja kuliko
Wa-TZ huku akimwonyesha M-TZ
chocolate tatu alizoiba supermarket...
We hereby officially seeking official registration to cc as new couple .gudgement has alredy done his part I salute him, Ladydoctor has given me go ahead after inspection
Humbly we submit...
Wageni wa siku hizi hawana hata makuu...mgeni wa siku hizi akija haulizi chai wala soda, mgeni wa siku hizi akifika cha kwanza kabisa utamsikia ETI UNA CHAJA YA PINI NDOGO
Never Wash Your Hands!
Itll take him four hours to do one hand. He then photographs it for posterity. I cannot imagine how he does it, the eyes are so remarkably lifelike. It took him 10 hours...
Madaktari wa vichaa katika Hospitali moja ya vichaa katika jiji la London, walikutana siku moja kujadili kifo cha mwendawazimu mmoja baada ya kugundua kuwa amejinyoka masaa machache baada ya...
MCHUNGAJI: Yeyote mwenye pingamizi
la haki kwa ndoa hii asimame na aje
mbele. Mara kibabu kimoja kikasimama na
kwenda mbele !
Bibi harusi alipomuona tu yule babu
akazimia
MCHUNGAJI...
Dah! si mchezo yaani mpaka sasa nimeshindwa kuelewa ni ushamba wangu wa mapenzi,utaalamu wa yule binti au uchawi! nilikwenda Tanga kununua biashara fulani hivi basi nimejikuta nikikolezwa na penzi...
uzee huja taratibu, kwanza huanza kusahau majina, mpaka mtu akukumbushe sana na kuwataja watu wengine waliokuweko ndio unakumbuka, kisha unaanza kusahau sura, hata mwanao unaweza kumsahau...
Evening wakuu,
Leo kwa bahati mbaya password ilizingua ikafika ten attempts na kujiwipe off every single entry in my blackberry. So kwa wale ambao u had my pin in your list please re-add me...