Yule bingwa wa kutoa mazindiko ndani ya miji ya watu Dk Alhaji Yahaya sasa yupo kanda ya ziwa . Kwa wote msumbuliwao na nguvu za giza , mambo kutokwenda vizuri, sukari na ngiri, mtu kakufanyia...
Abiria ni mtu yeyote anayesafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kutumia vyombo vya moto kama vile pikipiki, garimoshi, ndege, basi n.k. na mara nyingi hahusiki moja kwa moja ktk...
Kwa wale tuliosoma zamani ilikuwa raha sana.......angalia mwenyewe
Jogoo na Pazi
Sizitaki mbichi hizi ha ha ha sungura mjanja sana
Hiki kitabu bado kipo kweli........................
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza...
Kama Hataki Bhas Muache Aende Zake,
USIMBAKE !!
Kulazimisha Penzi Ni Hatarii,
Sawa Na Kulazimisha FUNGA Wakat Una
Vidonda Vya TuMbo !!!
Leo Na MiMi Ngoja Nishinde Huko PM...
Kama...
Wanafunzi 5 walitoroka na kwenda disko usiku , waliporudi asubuhi wakawawamechelewa kufanya TEST. Ikabidi wamdanganye mwalimu kuwa walilala msibani; wakapewa wiki 1 yakujiandaa ili wafanye...
Jana nilikuoa pale na madoido yako...
Mi penda sana pozi lako la kipicha..
hope hata kaka yako watu8 anafurahia
kweli uzuri(urembo) wako ni wa asili kabisa...
cc; Heaven on earth and Smile
Dad : akpors, plz buy me a soft
drink..
Akpors : Coke or pepsi ?
Dad : Coke.
Akpors : Diet or regular ?
Dad : Regular
akpors : Bottle or can ?
Dad : Bottle
akpors : Litre or oz ...
>> Mtoto Wa Kike Alimwambia Mama Yake; Mama Wahuni Wa Pale Wana Roho Mbaya, Yan Nimewaambia Waniangulie Maembe Wakaniambia Nipande Mwenyewe..
Mama Akaxema; Hao Walikuwa Wanataka Kukuchungulia...
ATHE..hii kitu inaniumiza sana hivi kila kitu kuhusu ubahili wapare?jamani kwa maisha ya sasa kuna mtu ambae atongi na bajeti...afu wapare wa 1890 AD sio wa sasa,utasikia mara oooh wapare...
Ni buree zenu fitina,
Kuachana ni muhali!
Hii nyimbo ya taarab nai dedicate kwako sweetie The secretary,karibu lunch serena.......mmmmmmmwwwwaaaaa!
Cc: Lady doctor
.....
.....
...............Habari zenu wana jamvi.Nilikuwa kimya kwa muda mrefu sana.Lakini nimerudi tena sina bifu na mtu nipo kwenye mfungo.
Lakini nikiwa ntwara nilitumiwa picha ya mtu...
Jamaa mmoja, pengine ni kutokana na imani kubwa kwa serikali hii au ugumu wa maisha, aliamua kudai risiti kwa huduma ya choo baada ya kulipa Tsh. 200. Sakata hili lilitokea karibu na stedi kuu ya...