JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ST. KAYUMBA SCHOOL OYEEE .. 'yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started to six six..(uliponiona ulianza ku-sita sita) u ran away n...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni Akiwa huko, aliambiwa na Malaika kuwa ametolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama. Kijana nae akachagua awe kuku. Mara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu JAMAA MMOJA MUONGO ALIWAKUSANYA WATU NA KUANZA UONGO WAKE MUONGO juzi nimeenda ngorongoro kumbe swala hawana mbio kabisa. nilipomuona swala nikashuka kwenye...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni kijana mdogo, hana miguu lkn anasimama! Hali chakula lkn anatapika! Hana mikono lkn anachapa mtu mpaka analia! Ni mdogo kiumbo lkn hurefuka na kunenepa akifurahi! Ana jicho 1 lkn anaona kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa mmoja alikuwa na wivu sana na mkewe kila sehemu atakayo pita anasikia watu wakimzungumzia,siku moja akanunua lipshine na kuimimina yote iliyo kuwepo na kuweka super glue ndani ya ile chupa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa watatu walikamatwa kwenye shamba la mzungu,akawaambia ili niwasamehe,kila mmoja wenu aingie porini na aniletee tunda ambalo sijawahi kuliona,jamaa wakaingia msituni,wa kwanza alimletea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hi Ni furaha ilioje ndani ya moyo wangu ambayo nashindwa hata kuiziba naona kama ngekewa vile au maajabu ya Mungu kuwepo tena siku hii. ambayo kwangu imenipa kicheko na ushangao ambao siwezi...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
1. Muheshimu anayekununulia 2. Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini 3. Uwe ndie mchekeshaji wa kikao, lakini usimkatishe mazungumzo anaetoa ofaa 4. Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka...
8 Reactions
188 Replies
10K Views
Haya wale wa ar natia timu huko monday, hebu tell me how to utilize my two nights stay. Sijawahi kukaa ar zaidi ya kukatisha tu nikitokea manyara. Nambeni semina elekezi wadau
0 Reactions
4 Replies
804 Views
unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio...
0 Reactions
131 Replies
9K Views
Natangaza rasmi, kua nataka nimchumbie mke wa sosoliso awe mke mdogo, kibubu changu karibia kiteremshe freelander from UK ya 2012. Copy: dadi Bishanga mama mdogo The secretary mama mzazi...
4 Reactions
132 Replies
6K Views
Mwalimu: alimuuliza zuzu kwanini unachelewa shule? Zuzu: alijibu natoka mbali na shule Mwalimu: unatoka mbali mbinguni? Zuzu: mbinguni kwa mbele kidogo....
2 Reactions
16 Replies
3K Views
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Nani hasa mmiliki wa Mwanaume, Mama yake au Mkewe? Fuatilia mabishano haya: MAMA: Mwanangu lazima aniheshim mimi. Alinyonya maziwa yangu kwa miaka takriban miwili. MKEWE: Mimi ni zaid ya miaka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
MTOTO: Baba naomba hiyo glass. BABA: Njoo uchukue mwenyewe. MTOTO: Baba bwana naomba. BABA: Halafu we mtoto ntakuja kukupiga. MTOTO: Basi ukija kunipiga njoo na hiyo glass..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
“if u help a gal when she is in problem, she will always remember u only when she is in problem again..!!”
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Uswazi! Acha kuitwe Uswazi! Mama Kidawa ni mjamzito, hawezi kumpa mumewe penzi Kamwonea huruma kwa kiu aliyo nayo. Akampa buku 5 akamwambia akatulize kiu kwa Ashura. Jamaa kufika Ashura...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Madhara ya utoaji majibu mepesi kwenye maswali magumu!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi wapendwa marafiki zangu wa moyoni wa jf Ni furaha ilioje ndani ya moyo wangu ambayo nashindwa hata kuiziba naona kama ngekewa vile au maajabu ya Mungu kuwepo tena siku hii. ambayo kwangu...
7 Reactions
94 Replies
4K Views
Habar zenu wadau mi mgen naomba ushikiano wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…