JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Just looking the case of Trayvon Martin and George Zimmerman,who was right
0 Reactions
5 Replies
867 Views
angekua bongo tungesema ana swagaa sasa kashikilia nini??
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mnavyokuja nusu uchi mtasababisha niwachakachue kisawasawa! Nimechoka kuwavumilia ati,ayaaa!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuanzia leo sitaki kusikia habari ya wanawake,nasema staki. Ole wako uniulize kwa nini,staki nasema staki,period.
5 Reactions
114 Replies
10K Views
Ni Tanzania pekee Mkojo una uwezo wa kuunguza nyumba,kuua,na kuchoma nyumba za ibada, kuandamanisha watu n.k.... Nchi nyingine Mkojo una uwezo wa kuacha tu harufu chooni...Tuupigie Mkojo Kura...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya sekeseke la jana ni kwamba sasa hivi kariakoo ukimwambia mtu assalam aleykum anakujibu Milele Amina
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi
mambo vp membars
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Sharo kutupia pamba iliyoandikwa 'THE GRAVE DIGER'(mchimba kaburi) hii iko poa?!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzee mmoja alimwandikia barua mjukuu wake aliyekuwa gerezani. MJUKUU wangu,msimu huu ctoweza kupanda mahindi kwa kuwa cna nguvu ya kulima na wewe ambaye ungenisaidia upo gerezani. MJUKUU wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Boy: Hallow mpenz. Girl: Hallow baby. Boy: Naomba leo jioni uje home. Girl: Sitoweza kuja kwakua leo tunaenda kwenye harusi ya dada. Boy: Basi jitahidi uje kesho. Girl: Samahani honey keshopia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hebu fikiria kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa,je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo au ungekuwa kama kipi kati ya hivi? (a) chandarua (b) chujio (c) wavu (d) chekecheo
0 Reactions
15 Replies
3K Views
(Assume you are a girl if you are a boy) It’s your first time. As you lie back, your muscles tighten. You put him off for a while searching for an excuse, but he refuses to be swayed as he...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Anindulile Andendekisyse Mwasyunguti Kibopile. (Jina Moja) 2. Mwaitako Mwaipumbuje 3. January Ogast 4. Furahia Mwaliko 5. Shida Matatizo Halisi 6. Chaudaku Maneno 7. Chausiku Mzozo...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo k.koo maji uhai imekuwa mwendo wa buku kwa chupa moja ya lt 1 kwa ajili ya mabomu ya machozi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Here you can look at one interesting text fragment. When i was reading this text I did not understood what whas really wrong with it but then I looked at each word. It is amazing what could our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuliko ilivyotegemewa! Sie tuliopo Mwz tumeshapata mengi yathibitishayo wahusika. Kama mlivyoona kwenye gazeti la leo la Mwananchi kua , kwamba visasi vya mapenzi vyahusika. Ndivyo ilivyo...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Wengine wanatamani mwisho wa mwezi ufike haraka, wengine wanatamani msimu wa mavuno ufike haraka, wengine wanatamani siku za ahadi za kukutana na wapenzi wao zifike haraka, kufunga ndoa, kusafiri...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Sizinga na wanaJF wengine mliopo Mtwara mgeni nimeingia ndani ya mji wenu kimyakimya jana asubuhi. Nyakati za jioni jana nilipata wasaa wa kujichanganya na wenyeji lakini nilichoshuhudia ni kuwa...
3 Reactions
157 Replies
9K Views
Kama kuna mwananchi wa nchi hii (Jamiiforums) ambaye kifo chake (LifeBan) kilitingisha vyombo vya habari (Majukwaa) basi ni Dada/Kaka FaizaFoxy. Lakini haijajulikana ni nini hasa kilisababisha...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Nataka kujua, hivi ulipokuwa mdogo lipi kati ya haya hukuwahi kufanya? ~ Kulilia soda ya Mgeni ~ Kucheza kombolela....kujifichaa! ~ Kukojoa kitandani.... ~ Kulamba kamasi.... ~ Kugoma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…