Mvua inanyesha ila watu wanatembea tu kwenye mvua na hakuna hata mmoja mwenye mwavuli. Nani anajua siri ya mafanikio haya?
Yani watu wenyewe hajaipendi kabisa!!!
nimewasiliana na mdada wangu wa moyoni gfsonwin, amelazwa na mtoto moi muhimbili! mtoto ameshaingia theatre na anafanyiwa upasuaji wa mguu! MUNGU NI MWEMA MY DEAR, TUNAMKABIDHI mtoto mikononi...
Nimeingia Jf baada ya kumuona mume wangu humu.
Natafuta hawara wa kunipotezea mawazo humu chit-chat.
Kwa mwanaume aliye tayari ani-PM.
UPDATES:
Hawara amepatikana,na shughuli ya kupokea PM...
Dear FP,
I am so glad to inform u that I have fallen in Love with you since the first day when i saw your Avatar. I would like to present myself as a prospective lover. Our love affair would...
... Mtambuzi ...
ukiwa sio tu kama moja ya kaka na rafiki yangu hapa jamvini bali pia kama
mmoja wa member ambae huwa nafurahia uwepo wake kwa mada mbali mbali na mijadala
ya hapa na pale...
Wakuu wana Chit Chat,jana nilikuja hapa nikitafuta wa kujivinjari naye.
Nashukuru kwa wote walio respond kwa PM.
Nimempata tayari,hivyo PM kwa ajili ya suala hilo zinatosha.
Wasalaam!
Wana JF mimi nafsi nakereka sana na hii zawadi,yes zawadi ni zawadi,but hii ya tsh50 siyo.
Mtu unatuma zaidi ya tsh 800,000 kwa M PESA,mara unapokea sms eti umepewa zawadi ya tsh50 kwa kutuma...
kuna haka katangazo ka dume kondomu mimi kananishangaza vipi mwanaume wa kweli atumie dume wakati na yeye ni dume.sasa dume na dume wanatumianaje wadau.
Kuiga siyo mbaya sana,,
Hasa kuiga kwenye Muviz pamoja na muziki wa kimamtoni yale yaliyo na manufaa,,
Lifestyle za Masista Duu na Mabraza Meni wa kibongo kwa kiasi kikubwa ni muigo kutoka kwa...
niko mwanza,jamani maraha yananiua,msosi wa nguvu kirunba resort,live music villa,mwanza hotel live band wanawake wa ukweli.......yaani mwanza shuruti nirudi!
5 out of 10 ladies in Nairobi carry SEX toys in their handbag
On the negative front, Kenya has again attracted the eye of the international community. And, as usual, Nairobi is taking the lead...
Wana JF,
Nimepita sehemu nikakuta jamaa zangu wanabishana kuwa kuna rafiki yao mmoja nyota yake imechukuliwa na sasa kuna mtu wanamhisi anatembelea nyota ya huyo jamaa hali iliyopelekea maisha ya...
Rais wetu na matangazo ya biashara! Mfano tangazo la vyandarua. Wadau mnalionaje hili! On my side silikubali mkuu wa kaya, Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini kushiriki kwenye matangazo ya...
University students waliingia kwenye quiz ya kuongea,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie.
Kwakuwa muda...