Wanabodi, habarini .
Hivi mnayo habari kwamba lugha ya Kingereza itaendelea kukimbiza na kua mbele kiasi isikutwe na lugha yeyote duniani ?
Utafiti uliyofanywa hivi karibuni na wataalamu...
Dah leo jamani yamenikuta!!
Kuna binti alinilaghai nikawa nae kimapenzi,kaniharibia uvulana wangu weee na baada ya kunitumia vya kutosha sasa kanimwaga wala hanijali tena..
Roho inaniuma sana...
Kama ungekuwa wewe ungependekeza nani apewe BAN.Toa na Sababu Tatu muhimu.
Kwa mimi wale wote wenye lugha za matusi na wanaoiba wake za watu.
Ongeza jina ...
People generally like to touch things but sometimes there are things that you don't want to touch.
-Cotton wool - I tense up at the very thought of it.
-Other people's penises...
matokeo yametoka leo mei mosi! Yani sijui kama utanipongeza au utanisodoa poa! Niliaga mkanipa baraka nimerudi kuripoti nilichokifanya!!
Nina acountancy B' commerce D' na economics S' lakin...
Mama nyimabondo alikuwa ameshapika chakula ndipo akaenda kwa bwana wake ambaye kwa muda huo alikuwa anacheza drafti na wenzake chini ya mwembe jirani kidogo na nyumba yao. Alipofika pale hakutaka...
Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa nimeshindwa kabisa kuiendesha Akaunti yangu ya face Book. Tatizo kwanza marafiki zangu niliowatafuta FaceBook wengi hawakupatikana na waliopatikana nadhani kutokana...
Haya wadau wa chitchat.
Tukumbushane, tuhabarishane ,tuhadithiane raha na karaha za maisha ya vijijini tulizo wai kukutana nazo.Sio muhimu kutaja majina ya vijiji
NB
Kwa wale tu wenye Experince...
Wanajf wengi watakuwa kwenye mahakama kuu kusikilisa kesi kati ya makongoro na mpendazoe ombi langu tupeane maujanja ili tuonane wakuu ss ni kama watoto wa familia moja
Pwaaa