Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom
Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili...
Furaha yangu imezimwa ghafla baada ya kutuma kwa bahati mbaya sticker ya ngono kwenye kundi la kanisa la Whatsapp. Mara baada ya kushtuka nikafuta kwa bahati mbaya sijafuta kwa wote, nilichagua...
Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj'
Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa...
Leo nimejua Kwanini waha ni wabishi sana, sababu ni hii safari ya kutoka kigoma mpaka Dar huwachukua almost siku tatu kwa Train hivyo wataalam wanasema hawa mabwana hupiga story kwenye train mpaka...
Dunia ya sasa ukiunga mkono na kuwa mshirika wa masuala ya ovyo ndio utapendwa na kuwa mtu wa watu.
Kwa m/Mme: ukiwa Malaya,mhuni, misifa km yote, Basi ndio utapendwa Na wanawake wajinga walio...
NyagiGang!
Baada ya Ugali mkubwa hapa Nyamilangano, nikahitaji Konyagi, my all time liqour.
Kuna kadada hapa Grocery, keupeee! Maradhi yangu, kakanishawishi kuna Konyagi mpya inaitwa Konyagi...
Ndugu zangu
Kabla ya kununua nazi huwa tunazitingisha karibu na sikio katika harakati za kuchagua.
Huwa tunasikiliza mlio wa aina gani?? Mwenzenu huwa nafanya tu halafu naishia kuchagua kubwa...
Wakuu, Nataka kujua tu.
Hivi kuna aina za nyimbo mwanaume akizipenda ataonekana kama mtu asiyejielewa na pia kuna nyimbo mwanamke akizipenda ataoneka wa ajabu au asiyejielewa pia?
Kwa mfano...
Sa huyu mwamba alikuwa anaimbaje...😅😂
Na alivuma dah! Mi nafikiri aina yake ya uimbaji haikuwa bongo flavor hii ilitakiwa ipewe jina lake jengine!.. by the way napenda muziki wanyumbani haswa zile...
Ujue mpaka sasa sielewi inakuaje
Hapa nilipo mi nikijana mdogo mdogo wa miaka 35, maskini tu japo nina degree ya wanyamapori kutoka SUA.
Huku mtaani ninakoishi jijini Mwanza jamanii eeeh...