JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World. Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari. 1. Dr Salaa 2. Fr. Kitima 3. Mwanasheria wa Mbeya 4. Askofu...
1 Reactions
3 Replies
700 Views
Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Salary Zimetoka, kama hujapata Increment muone Wakili Msomi Mwambukusu Aku Add kwenye Group la DP World. Ndio hivyo 😂😂
1 Reactions
2 Replies
406 Views
Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Look! Time fly fast life goes on, Going thru a lot of bullshits but im still in a zone And i aint never bin demolished coz im still strong Being in this hustling game nigga for so long. Nime...
8 Reactions
97 Replies
3K Views
Ngoja kwanza nicheke Ahahahahahah
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Et jaman mtu unamtumia txt anaku blue tik anakaa kimya unamchukuliaje? Sipendezewi na hii tabia
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Wasaalam Ushakutana na ile moment uko kwa social nets, uko bize unaperuzi mpaka ikafikia time ukafanya katukia ka ajabu aidha ka hatari, ka kuchekesha au katukio ka namna yoyote ile Ilikuwaje na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari! Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Maisha yanatupeleka kasi sana na wanaume wa dizaini za Baba zetu wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu nilichokiona. -Mwanaume wa leo hawezi badili taa iliyoungua mpaka amwite fundi. -Mwanaume wa...
14 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, salute kwenu. Kwanza Nina swali: ni kweli beer zinakufanya unenepe? Pili; tushauriane Pombe salama aina ya spirit ambazo haziumizi sana kichwa au maini. Mimi nimechoka kunywa beer na...
2 Reactions
7 Replies
696 Views
Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe...
1 Reactions
9 Replies
817 Views
Nimeandika bandiko tokea asubuhi hadi sasa silioni likichangiwa na wadau. Kupandisha bandiko lionekane kwa watu bei gani kwani?
30 Reactions
73 Replies
5K Views
Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu. Ulishindwa kuiita pesa iite basi fedha, acha kuiita hela. Maana itakukimbia siku zote na hata ukipata utaipata kiduuuuchu! Wewe watazame matajiri...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hey Hakuna watu wanakera kama hawa mtu anapoomba hela anasumbua sana simu azikauki lakini akishapa iyo hela umemtumia hajibu sms kama amepata yaani ulie tuma umpigie umuulize umepata kumpigia...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la DP World (chagua muitikio; mkataba uendelee au usiendelee) Katika maisha huwa tunafanya maamuzi kadha wa kadha kwa sababu zinazoelezeka na kueleweka. Lakini kumbe zipo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi binafsi si msambaa Ila hawa jamaa wakiongeaga lugha yao Huwa naenjoy sana hususani zile lafudhi zao kama vile hela wanaita hea, nyumbani wanaita nyumbai. Kabila lingine ni wamakonde...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…