JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwema? Aisee wadau nimekuwa na mapenzi makubwa na Jennifer Lopez ila nimekosa njia ya kukutana naye. Kama kuna mtu mwenye 'access' naye anipm, nitampa chochote kile. aisee, nyie, jamani mh...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au...
30 Reactions
141 Replies
10K Views
Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
651 Views
Majobless, masikini na mnaoshi kwa shemeji zenu mko poa? Na wakerewe pia mko poa? Wakuu humu jf kuna lijamaa linaitwa gaganiga daah wakuu huyu jamaa ni mnyamwezi fulani iko pesa nyingi sana aisee...
1 Reactions
13 Replies
680 Views
hello, Oya wanangu eeh, kitambo sana. Dah, sikumoja nilikutana na mdada mzuri, mnene kiasi, ana shepu fulani hivi. Siku ya kwanza nilimwomba namba, kanipa. Tukachati siku ya kwanza, wiki...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Najilaumu mno, huyu mpenzi wangu amenichemshia maziwa na mikate, nilikuwa na hasira tu hasa baada ya kuliangalia tumbo lake na usumbufu anaonipa. Bado nina hasira mno mpaka muda huu. Chupa ya...
1 Reactions
15 Replies
849 Views
Sikubali. Acheni hizo
1 Reactions
8 Replies
650 Views
Kidemu kifupi cheusi kina mapengo meno ya mbele kinaniambia bila afu tisini hakiwezi toka na mimi. Wakati huo nachati na pisi kali inaniambia tu tafuta kiwanja kizuri tukaenjoy. Hapo ndio...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo. Kesho naenda Shinyanga mjini Kwa wenyeji mnipokee lakini pia sehemu za kulala nzuri zilizostaarabika na Yale mambo yetu ya Hawa mama zetu. Lakini pia napenda...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Habari wakuu. Nimeamua kumaliza UJANA wangu kwa kufanya starehe/kula Bata ndani ya Mwaka Huu mmoja 2022. Kuna uwezekano mkubwa sana nikapata mwenza wa Maisha Mke Mwaka 2023/24. Mipango ya Mungu...
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Wanaume, Acheni kutoa pesa kirahisi kwa wanawake. Wanawaona mapimbi tu mkiwapa pesa. Penzi huja automatically, halinunuliki. Unaweza kupewa mpaka maku lakini hupendwi, just unaonjeshwa tu utelezi...
6 Reactions
93 Replies
4K Views
Hello wanajukwaa, Naomba kurudi kwenu kuomba kama nitapata binti wa kazi atakayekubali kwa hiki kiasi kidogo cha pesa nilichobarikiwa na Mola cha 63k kwa wiki, sawa na 9k kwa siku. Ni kwa vile tu...
8 Reactions
77 Replies
4K Views
Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi, Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana...
2 Reactions
10 Replies
796 Views
Wakuu mambo ni magumu aisee, Disemba bakini huko huko mjini kwenu! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
4 Replies
594 Views
Suala la kukataliwa limewafanya wavulana kutotetea uanaume wao wakidhani kuwa, hapo walipo ni kwa neema tu na si uwezo binafsi. Unakuta mvulana anachapiwa mbususu yake aliyoitolea kodi, ila bado...
2 Reactions
7 Replies
466 Views
Tigo mtabaki kuwa juu, juu mbinguni yani leo mmejua kunifuta machozi ya bando lililo juu juu angani, yani haya maumivu ya bando ni zaidi na sindano ikipita kwenye ukucha. Nirudi kwenye mada, leo...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Hayo yamependekezwa na mshauri wa ufundi wa Argentina fc kupitia wizara ya michezo na burudani baada ya kuona kiwango cha messi na wachezaji waandamizi wakishindwa kuifunga hata saudi arabia huku...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Si juzi tu TBC wamepiga pang'ang'a mingi kwamba oooh, wanaonyesha wedi kapu....mbona tunaambulia kuona Muheshimiwa akifungua ma project ya mwendazake? Halafu najipata nimeshikwa na hasira maanake...
3 Reactions
12 Replies
750 Views
Yaani kwa mfano unasema tu Ubungo hakuna umeme, halafu unasema hayoooooo matanesco hayana maana. Yaani yazomeeni ili mmalize hasira zenu zote sababu yanakusanya kodi na huduma ni mbovu miaka 60...
1 Reactions
16 Replies
644 Views
Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila. Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
0 Reactions
14 Replies
783 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…