JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tayari tupo msibani huku kwenye jumba la kifalme kama picha niliyopost inavyoonyesha. Muda mchache uliopita alifika mzee wa ukoo na tayari kikao cha wanandugu kinaendelea. Ila jana tayari...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
aje mdada mmoja
2 Reactions
6 Replies
643 Views
Kwa miaka 70 sasa lugha ya kiingereza imekuwa ikiitwa kimalkia na waswahili wengi. Je bado kiingereza kitaitwa kimalkia au ki-charles, au ki-mwinyi?
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Mapenzi bna! Unaishi na mtu, usiku anaamka kufanya maombi apate mke/ mume. Kumbe yupo single. Ila wewe unadhani ni mwenzio!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani mtu unapita unakuta wanakaa kimya, ilhali walikuwa wanaongea, wanakuangalia tu kama mademu vile. Mnakera sana.
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari wana JF kuna simulizi nyingi za maisha ya kweli ya wana JF humu ni ipi bora kwako? Yangu ni ya khumbu wa South Afrika, mke wangu Hamida, yule jamaa wa sitatosahu ya RFA Shaka Zullu aisee...
1 Reactions
0 Replies
549 Views
Jumapili iliyopita nilihudhuria kwenye msiba wa ndugu wa rafiki yangu, Miongoni mwa waombolezaji alikua dada mmoja mwenye miaka kama 26-30, alikuwa na mwanae wa kama miaka minne hivi Sijui...
36 Reactions
318 Replies
20K Views
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari za saa hizi. Je, ni mambo gani unatamani ungeyajua kabla hujafikisha miaka 23, Share hapa na wengine wajifunze.
0 Reactions
4 Replies
414 Views
Wapendwa sana wana JF,hbr za siku nyingi?,Km mada inavyojieleza,naomba kila mmoja wetu ataje jina la basi ambalo huwa anapenda kulitumia pindi atokapo Jiji la Dar es Salaam kwenda mikoani,nasi...
0 Reactions
15 Replies
622 Views
Ipi ilikuwa sababu ya kutengenezwa na kuvaliwa wigi kwa mara ya kwanza? Tai ilianza kuvaliwa kwa sababu zipi? Mwanzo wa binadamu kufunga ndoa na kufanya harusi ulikuwa lini na sababu zilikuwa zipi?
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Yaani, hamna kitu kilichokuwa kinatisha watu kama kukaa mbele ya darasa na huelewi yale anayofundisha mwalimu halafu anakuchagua kujibu swali na hauliwezi na ukigeuka kuna kiboko cha mpera😂😂...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF. Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Baaada ya kimya cha miaka kadhaa . nimerudi wakuu. JF ni nyumbani, ingawa sikushiriki mijadala lakini nimekuwa mfuatiliaji wa hapa na pale kipindi chote hicho. Nawakumbuka hawa ndugu zangu .Mkuu...
1 Reactions
11 Replies
779 Views
2 Reactions
2 Replies
507 Views
Habari za wakati huu Katika utoto wangu nilikuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa katuni hasa Tom & Jerry lakini kwa jinsi watu wanavyoiongezea manjonjo kwa sasa nabaki kufurahi tu. Nyingine...
21 Reactions
142 Replies
8K Views
guest-1793390367
Tangu uzaliwe ni kitu gani hujawahi kufanya? . Sema ukweli.....[emoji848][emoji85][emoji85]
3 Reactions
240 Replies
15K Views
Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa! Vipi sasa siwaoni au wameolewa? Ukubwani nimewamiss...
7 Reactions
107 Replies
7K Views
Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂 Shabiki...
8 Reactions
19 Replies
855 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…