JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wana MMU Je, wewe mwanamke wa JF ni angle gani upo vizuri katika mahusiano kama vile kupika vizuri, kujari, kupiga vizinga na nyengine nyingi na wanaume ni angle gani unatamani sana kwa...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Mimi niko na shida niko na rafiki yangu yaani anaweza kukwambia kitu halafu ni cha kweli ukimuuliza anakwambia ni ndoto zangu huwa naota ni za kweli. Kwa mfano nilikua naumwa sikumwambia...
2 Reactions
4 Replies
639 Views
Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya...
1 Reactions
5 Replies
741 Views
Peppermit ipo hewani ni revenge ya nguvu baada ya wqzazi wa starring kuuwawa. Lakini kikubwa ni balimi kushuka kwenye koo huku usungizi ukijitafuta taratibu. Viva Balimi Extra lager.
0 Reactions
3 Replies
612 Views
Tumshukuru Mungu kwa pumzi hii na riziki anazotupatia. Mnamo tarehe 28 September niliweka Uzi hapa JF nikimuulizia na kumtafuta mwanachama maarufu Bw. GENTAMYCINE ambaye happy awali sikuwahi...
8 Reactions
68 Replies
4K Views
Kuna sehemu nimeisoma hii; kutokana na takwimu wanaume wengi hutoa fedha nyingi benki siku ya ijumaa, na wanawake wengi hupeleka pesa nyingi benki siku ya jumatatu. Hii kimahusiano imekaaje wakuu?
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Mie nina swali nauliza Eti ni kweli kuwa mtu mwenye mwandiko mdogo ni mchoyo? Na kuna uhusiano gani kati ya mwandiko wa mtu na tabia zake?
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Binafsi napenda sana mvua. Kuna amani fulani huwa naisikia mvua ikiwa inanyesha. Hata ile harufu ya udongo mvua zinapoanza kwangu ni burudani kabisa. Nifahamu kuwa wanaopenda mvua wanaitwa...
6 Reactions
7 Replies
986 Views
Wapendwa, mkiona nimekuwa kimya msidhani nime R.I.P. Nitakuwa nje ya jukwaa kwa kipindi fulani ili niweze kujikita katika kumalizia masomo yangu ngazi ya masters! Hapo awali, nilipata ufadhili...
2 Reactions
11 Replies
976 Views
wadau maisha yana kwenda kasi !. pesa ngumu na mambo ni magamu,mrejesho utakuja kwa tuma na kutolea
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Uzi tayari
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Moja wapo ya eneo katika utandawazi linalo kuwa kwa kasi sana hapa nchini basi ni utandawazi wa teknolojia ya simu, na moja wapo ya simu zinazoenea na zenye soko sana hasa maeneo ya mijini ni...
1 Reactions
4 Replies
899 Views
Kama umesoma umbwe secondary njoo tukutane kubadilishana mawazo. Mkuu wa shule wa sasa ni :Zephania .E. Japhet Makamo wake ni :Jopa (jina lake maarufu) Taaluma:madam ZENA NA KIURE Karibu we...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana jf je wewe mdau mwezangu ushawai kuwa kiongozi katika mazingira fulani iwe shuleni ,kazini au sehemu yoyote tupe experience yako,binafsi katika elimu ya sekondari nilikuwa kiongozi.
1 Reactions
105 Replies
4K Views
Mapenzi sijui mahusiano sio poa ... Mara yule anataka aolewe wakati uwezo wa kuishi na mtu sasa bado kama kijana ....mimi mwenyewe tu hapa pasi ndefu kawaida ....kila siku swali hilo hilo ooh...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakiwa katika tabasamu bash adha baada ya kukabidhiwa kazi zao za chama kikongwe cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
1 Reactions
8 Replies
951 Views
Habarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya 💯💯 Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…