JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aisee nilivyokuwa nasoma sekondari nilidanganywa ukifika chuo lazima upate demu kwa njia yoyote ile tena mademu wanakushobokea wenyewe na wanakutongoza wenyewe Kulaleki kumbe walikuwa...
17 Reactions
194 Replies
23K Views
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend...
37 Reactions
125 Replies
12K Views
Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!. Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi...
9 Reactions
54 Replies
9K Views
TUISHI NAO KWA HEKIMA SANA NDIVYO VITABU VYA MUNGU VILIVYOTUAGIZA Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe! MUME: Amka twende jogging mke wangu? MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwa nikienda clubs mbalimbali nakuta wajomba wanaburudika na hii mimoshi.. Sielewagi wanapata stimu gani.. Natamani siku Moja nijaribu lakini sielewi km ndo nitakuwa Mraibu au laa.. Sasa...
0 Reactions
5 Replies
666 Views
Kama IQ yako hipo sawa naomba ujipime kwa chambua vitu vilivyo fichwa kwenye picha. [emoji116][emoji116]
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn. Mekutana na mtu anaitwa George n. Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke. Nyie nimeview profile ya George jamani am...
12 Reactions
86 Replies
6K Views
Hivi nyie wenye marafiki ambao mnatembeleana na kukutana physically weekend mnawapata wapi? Mbona mi niko mwenyewe sana Yaani weekend nazichukia bora weekdays nikiwa kazini muda unaenda ila...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Zifuatazo ni kabila na kazi za Kambale kama angekuwa binadamu:- Mmakonde – angechonga na kukeleza vinyago kwa sababu ana brashi mkiani, polish mwilini, msasa utosini, krampu mdomoni na msumeno...
1 Reactions
5 Replies
820 Views
Kupitia uzi huu kila mtu aeleze anasumbuliwa na tatizo gani au anasumbuliwa na Maradhi au maumivu gani ..na tuelekezane njia za za kutatua Shida YAKO ya leo ,,,,ni shida ya mwenzio ya jana,,,na ni...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Salaam wanang wa Jamiiforums Oya wadau jana nimeota navuta sigara, wataalam wa ndoto, hii ina maana gani?
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwanza niwape pongezi kwa kuwa wavumilivu kwenye uchumba wenu na kumaliza harusi yenu salama. Lingine nilishindwa kupata wasaa wa kuhudhuria kwenye shughuli hiyo nawaomba radhi kwa hilo. Na la...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
Naanza na langu, Wananiitaga Tembo maana nna mkonga. wewe je.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
28 Reactions
190 Replies
11K Views
Binafsi naamini kila mmoja ana sababu yake iliyomfanya kujiita hilo jina anatumia hapa JF. Sio mbaya ukitufungulia password za jina lako. Kuna wengine IDs zao zimebeba historia au tukio fulani...
21 Reactions
92 Replies
6K Views
Ninavyo mfahamu Msukuma hufanya yafuatayo; 1- Hapendi makuu ukimchokoza anasema Kaya ya Ng'wobha nayo Kaya ili siku ipite salama. 2- Hapendi Kesi, ukimdhurumu anasema Maguzu Masese ili asipoteze...
17 Reactions
101 Replies
14K Views
Baada ya Mwamedi kuwauza wachezaji muhimu wa Timu yetu na kurudisha pesa yake ameamua kujiuzulu. Tunataka bilioni ishirini yetu mwamedi acha uswahili.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila kitu kina siku yake, kwa uchache: Siku ya wanawake Siku ya wakina Mama Siku ya wanaume Kuna Siku ya wanaotumia mkono wa kushoto Siku ya wanaovaa miwani Siku ya wenye vitambi Siku ya wenye...
0 Reactions
8 Replies
822 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…