JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimemiss michezo ya utotoni, kipindi hicho mtu hajali kuhusu maisha wala nini unawaza kula,kucheza,kulala na Kwenda Shule (KKKK/4K ) Basi hapa tukumbushane michezo ya utotoni kwa picha, Enzi hizo...
10 Reactions
213 Replies
13K Views
Nifanyeje nikikumbuka vya huku jf nisicheke peke yangu maana kuna mda unakuta natembea alafu nikikumbuka baadhi ya majibu ya member humu najikuta naangua kicheko peke yangu hadi...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Kisa chenyewe kilitokea mlimani city kule upande wa chini kabisa kusiko na magari mengi upande wa Sam Nujoma rd. Tulikubaliana na jamaa yangu tukutane pale kuna mzigo nimpe, lakini baadae...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari JF, Story fupi tu ipo hivi jana usiku mida ya saa 8 na nusu nilitoka nje kwenda road kununua maji ya kunywa asee sasa nafungua tu mlango mkubwa wa kutokea nje niliona ndege mkubwa mno...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Naomba uburudike na wimbo huu kokote ulipo, nakutakia EASTER njema wewe pamoja na familia yako yote na wale uwapendao[emoji173] THE MAFIK kigoli ushanipiga roba kabali/ silali penzi nshacheza...
11 Reactions
504 Replies
19K Views
Najua mwezi umeandama ila kimeumanaaaaa. Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh. Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo. Nilijikuta...
16 Reactions
118 Replies
8K Views
Nakumbuka ilikua mwaka 2012 nikiwa niko chuo tulipanga nyumba nzima maeneo ya Buguruni mimi na vijana wengine kama wanne, sasa ikatokea laptop kuibwa katika mazingira ambayo mimi ndio nilikua...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Umeelewa nini kwenye hii Picha? Wacha tuone. Nani yuko na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo. [emoji4][emoji4][emoji1] [emoji1]
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello jamiiforum,hope mu wazima wa afya ndugu zanguni. Kwenye mada, Kama heading inavyosomeka ni kwamba Nikiwa mtoto wa darasa la nne shule fulani mkoani,nilitokewa na muujiza ambao kwa wakati...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nawahasa Vijana mTafute hela mpunguze kujieleza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ukiwa na Hela hata Dem aseme we Kibamia hakuna atakae mind...
1 Reactions
11 Replies
971 Views
Ni jina gali ulipolisikia kwa mara ya kwanza lilikushangaza na hukuwahi kudhani kama kuna mtu anaweza kumuita mtoto wake hivo? Kwa upande wangu kuna majina kama .kufa .mabla blaa .mateso
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Corona ilikuwa Tishio duniani na hasa Tanzania lakini ilipotangazwa tu kuwa inakaribia kuja Kutuambukiza na Kutuua kwa Mshangao mkubwa ikatoweka. Tokea Juzi TMA wanatutisha tu Watanzania ( hasa...
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Did you know that It is impossible to sneeze with your eyes open. It is a defence mechanism that has evolved to protect our eyes from bacteria and debris.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ndio kitu gani hicho?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kulingana na janga sisi ma-beach boy tunaotegemea utalii (mabibi wa kizungu). Tunaumbuka maana hatuna ujanja zaidi ya kutulia home na kunyoa Rasta. Tunaumbuka peupe. Nitaweka uso wangu wapi...
12 Reactions
35 Replies
5K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu zamani tulikiwa tunajua wanawake ndo wambea lakini sasa hivi naona na wenzetu was nao hawataki kupitwa jamani naomba muacheeee
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hello everyone ! Leo April 08 ni siku muhimu kwa rafiki yangu kipenzi hapa Jf aitwaye Jimena , Naomba tujumuike pamoja kumtakia heri ya kuzaliwa dada yetu huyu...... Napendelea sana ule msemo...
15 Reactions
337 Replies
30K Views
Adjee adjeee wakuuu Mimi ni katibu mwenezi na itikadi wa CHAPUTA na ningependa wanachama wenzangu tushirikishane njia bora za kujiliwaza kwa punyeto huku ukiwa una uhakika wa kuwa hauwezi kupata...
8 Reactions
147 Replies
29K Views
Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…